Wakenya kugharamika zaidi wanaponunua mafuta

Wakenya kugharamika zaidi wanaponunua mafuta

Wakenya watalazimika kulipia zaidi ili kununua mafuta baada ya ripoti ya hivi punde kutoka kwa mamlaka inayosimamia kawi nchini ERC kuonyesha ongezeko la bidhaa hiyo muhimu kwa asilimia 5.28.
Ripoti hiyo inayohusisha ada ya uchukuzi, ushuru na bima ya magari ,inaonyesha kwamba mafuta ya petroli yameongezwa bei kwa shilingi 1.30 ,mafuta ya diseli kwa shilingi 3 na shilingi 5 kwa mafuta taa. mabadiliko hayo huenda pia yakaathiri bei ya bidhaa nyingine.

Also read:   Bus fare, goods remain high despite steady fuel price drops

Related posts

MNL App
MNL App