HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Rais Kenyatta aifariji familia ya marehemu Gakuru nyumbani mtaani Runda

Rais Uhuru Kenyatta pamoja na mama wa taifa Bi Margaret Kenyatta walifika nyumbani kwa mwendazake gavana wa Nyeri Dkt Wahome Gakuru katika mtaa wa Runda kuiliwaza familia yake.
Nyumbani kwake Nyeri, jamaa zake sasa wanataka uchunguzi wa kina kufanywa kubaini kilichopelekea ajali iliyomwangamiza gavana Gakuru.

Show More

Related Articles