Mtoto wa miaka 10 atumia mifuko ya plastiki kutengeneza bidhaa mbalimbali

Mtoto wa miaka 10 atumia mifuko ya plastiki kutengeneza bidhaa mbalimbali

Wiki kadha  zimepita tangu sheria ya kupiga marufuku mifuko ya  plaskiti nchini kuanza kutekelezwa nchini.

Marufuku hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti, wengine wakisema itaathiri biashara zao huku wengine wakionekana kufaidika kutokana na marufuku hiyo.

Kutana na msichana mwenye umri wa miaka kumi kutoka eneo la Juja Kaunti ya Kiambu ambaye anatumia mifuko ya plastiki kutengeneza bidhaa mbalimbali .

Also read:   Mwanamuziki mwingine wa Congo azuiliwa kuondoka hotelini, Mombasa

Related posts

MNL App
MNL App