Mgaagaa na upwa: Kundi la vijana wanaotumia viatu kuu kuu kupanda maua,Nairobi 

Mgaagaa na upwa: Kundi la vijana wanaotumia viatu kuu kuu kupanda maua,Nairobi 

Viatu vikizeeka nyumbani wengi hufikiria kwamba huo ndio mwisho.

Kutana na kundi la vijana, katika barabara ya Mamlaka hapa jijini Nairobi, ambao hutumia bidhaa kuukuu kutengeneza vyombo maridadi vya kuweka maua ya kurembesha nyumba .

Basi kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii, Joab Mwaura anamwangazia Simon Karukwa.

Also read:   Upinzani wapuuzilia mbali mwaliko wa uapisho wa Kenyatta

Related posts

MNL App
MNL App