Nyani wanazua hofu kwa wakaazi wa Free Area,Nakuru

Nyani wanazua hofu kwa wakaazi wa Free Area,Nakuru

Wakaazi katika eneo la Free Area katika kaunti ya Nakuru wametoa wito kwa Shirika la Huduma ya Wanyama Pori nchini kuweka ua kwenye mbuga ya Ziwa Nakuru utakao wazuia nyani ambao wamewatia hofu kwa muda.

Hii ni baada ya nyani hao kuwashambulia na kuwaumiza baadhi ya wenyeji, akiwemo mwanamke mmoja anayeuguza majeraha.

Also read:   Fundi wa magari asiyeweza kusikia

Related posts

MNL App
MNL App