Hofu ya Kipindupindu : Mtu 1 aripotiwa kufariki baada ya kuathirika,Vihiga

Hofu ya Kipindupindu : Mtu 1 aripotiwa kufariki baada ya kuathirika,Vihiga

Mtu mmoja amethibitishwa kufariki katika kaunti ya Vihiga baada ya kuuguwa ugonjwa wa Kipindupindu.
Haya yanajiri baada ya watano zaidi kulazwa katika hospitali ya Nairobi baada ya kuuguwa maradhi hayo.
Watano hao waliokuwa wanahudhuria sherehe ya harusi humu jijini Nairobi kabla ya kulazwa, wanasemekana kutoka kaunti hiyo ya Vihiga ambayo inaripotiwa kushuhudia mkurupuko wa maradhi hayo.

Also read:   SGR Workers who had downed their tools last week resume duty

Related stories