Bei ya mahindi yapanda, ngano yashuka na ukame kukithiri

Bei ya mahindi yapanda, ngano yashuka na ukame kukithiri

Unga wa ngano una bei rahisi kwa shilingi ishirini kuliko unga wa mahindi
Huku msimu wa ukame unapoendelea, bei ya vyakula pia imekuwa ikiongezeka, na baadhi kuwa adimu.
Kinaya ni kuwa, taifa la Kenya lategemea mahindi kama lishe kuu na zao hili hupandwa karibia kila kaunti ila sasa, bei yake yazidi ile ya unga ngano.
Kulingana na Alfred Busolo mkurugenzi wa mamlaka ya kudhibiti sekta ya kilimo na uzalishaji, yaani Agriculture Food Authority, kumekuwa na ongezeko la uzalishaji wa ngano hata katika masoko ya kimataifa .

Also read:   What ails the scale up of Kenyan IT businesses

 

Related stories