Ethuro ataja pendekezo la kuvunja seneti kama mzaha wa mwaka

Ethuro ataja pendekezo la kuvunja seneti kama mzaha wa mwaka

Spika wa seneti Ekwe Ethuro amekashifu pendekezo la kamati ya uhasibu bungeni kuwa bunge la seneti livunjiliwe mbali na idadi wa waakilishi wa wadi ipunguzwe.
Ethuro aliyasema haya katika kongamano linalowaleta pamoja wakilishi wa wadi kutoka kote nchini katika kaunti ya Mombasa.
Kongamano hilo linawadia siku chache tu baada ya bunge la kitaifa kutoa pendekezo kuwa bunge la seneti lifutiliwe mbali na idadi ya waakilishi wadi pia ipunguzwe.

Also read:   Wana Wa Akasha Wataka Kesi Yao Ianza Upya.

Related stories