Mgomo wa madaktari : Mashauriano yameanza leo kumaliza mtafaruku

Mgomo wa madaktari : Mashauriano yameanza leo kumaliza mtafaruku

Mazungumzo ya kusitisha mgomo wa madaktari yameng’oa nanga tena chini ya usukani wa tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu na chama cha wanasheria nchini.
Mazungumzo hayo ambayo yamesalia kuwa siri kwa wahusika hadi pale suluhu itakapopatikana, yamefanyika katika ofisi za KNHCR jijini Nairobi.

Also read:   Acute food shortage on the rise in Bamba, Ganze constituency

Related stories