BUDGET 2017/18

CA yapinga madai kuwa itadakua jumbe za wakenya binafsi

CA yapinga madai kuwa itadakua jumbe za wakenya binafsi

Mamlaka ya mawasilianao humu nchini, imekana madai kwamba inapanga kukusanya arafa za kibinafsi za mamilioni ya wakenya kupitia simu za rununu bila ruhusa yao, hivyo basi kuingilia uhuru wa mawasiliano ya wakenya bila idhini yao.
Mamlaka hiyo imesema kwamba kupitia mfumo mpya wa kiteknolojia wa DMS, lengo lao litakuwa kuwasaka watu wanaotumia simu bandia, au zile zilizoingizwa humu nchini kimagendo.
Mfumo huo was DMS, sasa unatarajiwa kuanzishwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu au kabla ya kutimia kwa makadirio wa mwaka huu wa kifedha.

Also read:   Governor Ndathi forced to seek refuge after chaos erupted at a public meeting

Related stories