Mkutano wa Raila Turkana East ulikumbwa na vurumai

Mkutano wa Raila Turkana East ulikumbwa na vurumai

kundi la vijana lilitibua mkutano wa kiongozi wa CORD Raila Odinga alipozuru maeneo ya Turkana East na kumlazimu kuondoka kwa haraka bila kuwahutubia wananchi waliokusanyika.
Hata hivyo, Raila aliandaa mkutano mwingine eneo la Lokichar, Turkana Kusini akiwa ameandamana na gavana wa Turkana Josephat Nanok na kuhutubia wafuasi wake bila bugdha kwenye kampeni yake ya siku tatu eneo hilo.

Also read:   Justice Maraga interviewed by JSC panel

Related stories