HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosUS Election 2016

Trump azua cheche zaidi

Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi kaimu mwanasheria mkuu Sally Yates kufuatia hatua yake ya kuamrisha mawakili wa idara ya haki nchini humo kutotekeleza amri ya rais kuzuia raia wanaotoka katika nchi za Kiislamu.
Muda mfupi baadaye rais Trump alimteua Dana Boente ambaye alitekeleza amri hiyo mara moja ambayo sasa imezuia raia kutoka nchi saba za Kiislam kuingia Marekani.

Show More

Related Articles