Madaktari wanaogoma waanza kupokea barua kwanini wasifutwe kazi

Madaktari wanaogoma waanza kupokea barua kwanini wasifutwe kazi

Baada ya madaktari kugoma kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, serikali ya kaunti ya Nairobi imewaandikia madaktari wapatao 239 barua za kuwataka kujieleza kwanini wasifutwe kazi. Hii ni baada ya madaktari hao kukaidi agizo la kurejea kazini kama walivyoagizwa mapema wiki hii, huku nafasi zao zikitarajiwa kutangazwa wazi na kuanza kupokea maombi ya kazi.

Also read:   A family in Gilgil pleads for help to retrieve kin from a dam

Related stories