HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosUS Election 2016

Viongozi tofauti akiwemo Kenyatta wamempongeza Trump

Ulimwengu wa siasa bila shaka umetikiswa na uchaguzi wa Donald Trump kama rais mteule wa Marekani.
Balozi wa Marekani humu nchini Kenya, Robert Godec pia alimpongeza rais mteule Trump huku akiwahakikishia Wakenya kwamba haijalishi ni nani aliye kwenye ikulu ya White House, kwani taifa la Marekani litazidi kushirikiana na Kenya.
Rais Uhuru Kenyatta, naibu rais William Ruto na viongozi wengine ulimwenguni wamempongeza Trump kwa ushindi wake.

Show More

Related Articles