Mwanamke ampa mumewe gari la Kshs 10M kusherekea siku ya kuzaliwa

Mwanamke mmoja amempa mpenzi wake zawadi ya gari aina  ya Toyota Landcruiser VX yenye thamani ya shilingi milioni kumi kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwake .
Laura Akunga Muriithi  alimpa mumewe Mark Mwenje zawadi hiyo kwa kuwa rafiki wa karibu, mpenzi wa dhati  mumewe na  nambari moja kwa maisha yake. Kama wasemavyo wahenga mapenzi kikohozi

Also read:   Konnect: Juicing Experiences and Testimonies

Post source : K24 tv

Related posts

MNL App
MNL App