Kidero: NASA kuwasilisha mgombeaji mmoja kwa kila wadhifa

Kidero: NASA kuwasilisha mgombeaji mmoja kwa kila wadhifa

Siasa za mchujo wa chama kwa muungano wa NASA zimeonekana kuchukuwa mkondo mpya baada ya gavana wa Nairobi Dkt Evans Kidero kusema kuwa NASA itawasilisha mwaniaji mmoja kwa kila nafasi wala sio mwaniaji kutoka kila chama kilichoko kwenye muungano huo.
Hata hivyo, haya yanaonekana kutofautiana na baadhi ya vyama chini ya muungano huo ambao wamesisitiza kuwa kila chama kitawakilishwa kwenye nafasi zote nchini isipokuwa nafasi ya rais.

Also read:   Hisia mseto zazidi kuibuka kuhusu mradi wa maji huko Murang'a

Related stories