BUDGET 2017/18
MIHEMKO YA KAUNTI : Kinyang’anyiro cha ugavana kaunti ya Wajir

Joto la kisiasa katika kaunti ya Wajir linaonekana kupamba moto kila kuchao. Tayari mahasimu wakuu wa kisiasa gavana wa sasa Ahmed Abdullahi pamoja na aliyekuwa balozi wa Kenya nchini Saudia Mohammed Mahmud wamepata ridhaa mabaraza tofauti ya wazee kutoka jamii ya Degodia. Kulingana na wenyeji wa kaunti...
Read more
Mihemko ya Kaunti: Kaunti ya Migori

Kaunti ya Migori, mojawepo ya kaunti ambazo zinajivunia kuwa jirani wa mataifa ya Afrika mashariki imekuwa na historia kuu tangu enzi za hapo awali hasa eneo la South Nyanza. Mwamko wa ugatuzi ukiwa ulionekana kuwa kama mwanga kwa wenyeji wa kaunti inayokisiwa kuwa nyumbani kwa wakenya wa kabila kadhaa,...
Read more
A section of Ukambani leaders throw their weight behind Jubilee Party

A section of Kamba leaders have said their decision to support the Jubilee Party ahead of the August eighth general election is irreversible. According to them, they want to be part of the winning team. The leaders say they made the decision to back Jubilee Party so that they can become part of the part...
Read more