Breaking NewsHabariMilele FmSwahili

Seneta wa Kakamega Cleophas Malala akamatwa Kisumu

Seneta wa Kakamega Cleophas Malala amekamatwa na maafisa wa DCI. Malala amekamatwa akiwa mjini Kisumu akihusishwa na makundi ya wahalifu yanayotekeleza mauaji huko Matungu Kakamega. Mwingine ambaye ametiwa mbaroni ni mwakilishi wa eneo la Mayoni Libinus Oduor.

 

Show More

Related Articles