Milele Fm
-
Habari
Mtahiniwa 1 wa KCPE afariki Kiambu alipokuwa akipokea matibabu hospitalini
Mtahiniwa moja wa KCPE kutoka shule ya Mwiting’iri kaunti ya Kiambu amefariki alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Thika Level…
Read More » -
Habari
Abiria 47 wanusurika baada ya basi walimokuwa kushika moto
Abiria 47 wamenusurika baada ya basi walimokuwa kushika moto. Walikuwa wakisafiri kuelekea Mombasa kabla ya basi hilo kushika moto eneo…
Read More » -
Habari
Mutua apata afueni kufuatia kutupiliwa mbali kesi ya ufisadi dhidi yake
Kesi ya ufisadi iliyokuwa inamwaandama gavana wa Machakos Alfred Mutua kuhusiana na ununuzi wa magari kaunti hiyo imeondolewa mahakamani. Hii…
Read More » -
Habari
Ajuza wa miaka 68 ni miongoni mwa watahiniwa wanaokalia mtihani wa KCPE
Ajuza wa miaka 68 ni miongoni mwa watahiniwa wanaokalia mtihani wa KCPE katika shule ya Unoa huko Wote kaunti ya…
Read More » -
Habari
Mwanahabari Jackie Maribe aachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni 1
Kesi ya mauaji ya Monica Kimani itaanza Juni 18 hadi 27 mwaka ujao. Jaji wa mahakama ya Milimani James Wakiaga…
Read More » -
Habari
Idadi kubwa ya watahiniwa waripotiwa kuifanya mitihani hiyo hospitalini
Idadi kubwa ya watahiniwa wameripotiwa kuifanya mitihani hiyo hospitalini. Katika eneo la Tinderet kaunti ya Nandi mtahiniwa mmoja amejifungua saa…
Read More » -
Habari
Msichana wa miaka 13 ajitoa uhai Elementaita Nakuru
Msichana wa miaka 13 amejitoa uhai huko Elementaita kaunti ya Nakuru.Ni baada ya msichana huyo kuzozana na binamuye kuhusiana na…
Read More » -
Habari
Katibu mkuu wa muungano wa wauguzi Seth Panyako aachiliwa huru
Katibu mkuu wa muungano wa wauguzi nchini Seth Panyako pamoja na wakuu wawili wa muungano huo wameachiliwa huru kwa bondi…
Read More »