HabariMilele FmSwahili

Serikali kukata 1.5% ya mishahara wafanyikazi kuanzia Mei kufanikisha ajenda ya ujenzi wa makazi bora

Kuanzia mwishoni mwa mwezi huu, wafanyakazi katika sekta ya umma na ile ya kibinafsi wataanza kukatwa asilimia 1.5 ya mishahara yao. Hii ni kulingana na mpango wa serikali kuchangisha fedha kufanikisha ajenda ya ujenzi wa makazi bora ya bei nafuu. Ifikiapo Mei 9, asilimia hii itakuwa imeondolewa kwenye mshahara wako.

Show More

Related Articles