HabariMilele FmSwahili

Prof Olive Mugenda kusalia kama mwenyekiti katika bodi ya hospitali ya chuo kikuu cha Kenyatta

Prof Olive Mugenda ataendelea kuhudumu kama mwenyekiti asiye na mamalaka katika bodi ya hospitali ya chuo kikuu cha Kenyatta. Ni baada ya mahakama ya uajiri kutupilia mbali kesi aliwasilishwa mwanaharakati Okiya Omtata aliyepinga uteuzi wa Mugenda na wanachama wengine 2. Kulingana na mahakama madai Omtatah aliwasilisha dhdi ya uteuzi wa Mugenda na wanachama wengine kithinji Kiragu na Gladys Ogallo hayajafikia uzito wa kikatiba kuridhiwa

Show More

Related Articles