HabariMilele FmSwahili

Madaktari 2 wa Cuba waondoka Lamu kufuatia kutekwa nyara kwa wenzao Mandera

Madaktari wawili raia wa Cuba waliokuwa wakihudumu katika kaunti ya Lamu wameondoka kaunti hiyo kwa kuhofia usalama wao. Hii ni  baada ya kutekwa nyara wenzao wawili juma lililopita katika kaunti ya Mandera. Vikosi vya usalama kwa sasa vinaendelea na oparesheni ya kuwasaka na kuwaokoa madaktari waliotekwa nyara na kupelekwa nchini Somalia.

Show More

Related Articles