HabariMilele FmSwahili

Mume amuua kwa kumkata kata mkewe wa miaka 24 Nyarobo kaunti ya Nyeri

Mwanamke wa miaka 24 ameuwawa kwa kukatwa katwa na mpenziwe katika eneo la Nyaribo kaunti ya Nyeri. Akidhibitisha kisa hiki mkuu wa polisi eneo hilo  Paul Kuria amesema mwanamke huyo aliuwawa saa saba usiku wa kiamkia leo.Aameongeza kuwa mshukiwa wa mauaji hayo alitoroka na anasakwa. Haya yanajiri siku chache baada ya mwanamke wa miaka 30 kukatwa katwa mara 17 na mumewe kaunti hiyo ya Nyeri.

Show More

Related Articles