HabariMilele FmSwahili

Naftali Kinuthia, Kufikishwa mahakamani leo kuhusiana na mauaji ya Ivy Wangechi

Naftali Njami Kinuthia, jamaa anayedaiwa kumuua kinyama mwanafunzi wa taaluma ya udaktari  Ivy Wangechi Juma  katika hospitali ya rufaa ya Moi mjini Eldoret atafikishwa mahakamani leo. Naftali atafikishwa katika mahakama ya Eldoret leo kabla ya kuwasilishwa katika mahakama kuu ya Nairobi kesho. Naftali aliyeondoka katika hospitali ya rufaa ya Moi ambako amekuwa akipokea matibabu kwa sasa anazuiliwa katika sehemu isiyojulikana.

Show More

Related Articles