HabariK24 TvSwahiliVideos

Siha njema : Haimana Wairimu anaugua Saratani ya koo

Siha njema

Tafakari haya, mwanafunzi kuachishwa shule kwa sababu hawezi kupumua bila ya kutumia tangi la gesi baada ya kuugua ugonjwa wa saratani ya koo ulioathiri mapafu yake.

Haya ni masaibu anayoyapitia msichana mwenye umri wa miaka minane kama anavyotueleza mwanahabari wetu Georgina Magondu.

 

Show More

Related Articles