HabariK24 TvSwahiliVideos

Maradhi ya figo : Madaktari wataka miundo msingi kuimarishwa

Maradhi ya figo

Madaktari wametoa wito wa kuimarishwa kwa miundo msingi  nchini ili kuwezesha upasuaji kupandikiza figo kutoka mtu mmoja hadi mwingine kwani idadi ya wanaougua maradhi ya figo huenda ikaongezeka katika siku za usoni. Hii ni kutokana na sababu kwamba wengi wanaofika hospitalini na maradhi ya figo hufika wakati figo zao zimeathirika pakubwa.

 

Show More

Related Articles