HabariK24 TvSwahiliVideos

ODM: Ruto hakufahamu kuhusu maamkuano

ODM

Chama cha ODM kupitia kwa katibu wake mkuu Edwin Sifuna kimepinga madai yaliyoibuliwa na naibu wa rais William Ruto jana usiku kwenye mahojiano na runinga ya Citizen kwa kudai kuwa Ruto anawahadaa wakenya na hana nia njema ya kuwaleta wakenya pamoja.

Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari chama cha ODM kinadai kuwa Ruto hana ufahamu wowote wa maamkuano kati ya kinara wa ODM  Raila Odinga na rais Uhuru Kenyatta.

 

Show More

Related Articles