HabariK24 TvNATIONALSwahiliVideos

Moto tena Gikomba! : Wafanyabiashara wasalia kukadiria hasara

Gikomba

Wafanyi biashara katika soko la Gikomba wanakadiria hasara kubwa baada ya moto kuteketeza zaidi ya maduka 100 ya viatu sokoni humo kwa mara nyingine tena .

Moto huo ulianza saa tisa usiku na labda kutokana na visa vya mara kwa mara vya moto sokoni humo, hakuna kiongozi hata mmoja alijitokeza kuwajulia hali wafanyibiashara waliokadiria hasara ya mamilioni ya pesa, hiki kikiwa kisa cha kumi cha moto sokoni humo.

 

Show More

Related Articles