English VideosHabariK24 TvSwahili

Vita dhidi ya ufisadi : Raila akanusha ana njama ya kumharibia jina Ruto

Raila

Kinara wa upinzani Raila Odinga amejitenga na madai kuwa kuna njama ya kumharibia jina naibu wa rais William Ruto ambaye wandani wake wamekuwa wakidai kuwa kuna mapendeleo kwenye vita dhidi ya ufisadi.

Odinga anadai kuwa iwapo kuna mtu aliye na fikra kwamba analengwa basi huenda utenda kazi wake ni wa kutiliwa shaka.

 

Show More

Related Articles