HabariPilipili FmPilipili FM NewsSwahili

Idadi Ya Watoto Wanaougua Kifua Kikuu Yahofiwa Kuongeza.

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kifua kikuu ,Serikali kupitia wizara ya Afya zinawataka wenyeji kuwa na mazoea ya kuzuru vituo vya afya na kupima hali zao ili kuimarisha vita dhidi ya ugonjwa huo.

Waziri wa afya katika kaunti ya kilifi Dkt Anisa Omar amesema kaunti hiyo ina zaidi ya visa 2,558 vya watu walioathirika kwa ugonjwa huo.Anasema katika idadi hiyo elfu moja kati yao ni watoto.

Anisa amesema hali hiyo imesababishwa na dhana potufu za jamii ambapo ugonjwa huo unahusishwa na uchawi.

Show More

Related Articles