HabariPilipili FmPilipili FM News

Mwanamume Azuiliwa Voi Kwa Madai Ya Mauaji.

PolisI mjini Voi kaunti ya Taita Taveta wanamzulia Mwanamume mmoja wa umri wa miaka 35 kwa madai ya kumuuwa mjombake mkongwe wa umri wa miaka 70.

Inasemekana wawili hao kutoka kijiji cha MWANDAU kata ya Mbololo , walikuwa wakijiburudisha kwa kileo, baada ya mwendazake kupokea malipo yake ya uzeeni. OCPD wa Voi Joseph Chesire amethibitisha kisa hicho akisema tayari wameanzisha uchunguzi kubaini chanzo cha mauaji hayo.

Show More

Related Articles