K24 TvNEWSSwahiliVideos

JANGA LA NJAA NCHINI: Serikali yakanusha Wakenya wamefariki

Serikali imekanusha madai kwamba kuna Wakenya waliopoteza maisha kufuatia makali ya njaa katika kaunti za Baringo na Turkana, licha ya taarifa na picha kuonyesha makali ya njaa haswa katika kaunti hizo mbili. Haya yanajiri huku Naibu wa Rais Dkt. William Ruto akitangaza kwamba shilingi bilioni mbili zimetolewa leo kuwasaidia wahanga wa njaa maeneo tofauti juma hili.

Show More

Related Articles