HabariK24 TvSwahiliVideos

Ibada ya wafu Ethiopia : Familia zapewa mchanga kuzika baadili ya mili

Ibada ya wafu Ethiopia

Wakenya waliofariki katika ajali ya ndege nchini Ethiopia ni 36 , hii ni baada ya watu  wanne  zaidi kubainika kuwa walikuwa na  uraia wa nchi mbili .

Haya yamebainika wakati ibada ya wafu ikifanyika nchini Ethiopia na hapa nchini Kenya huku jamaa wa waliofariki wakibeba majeneza matupu huko Ethiiopia.

Frankline Macharia anasimulia jinsi majonzi yaligubika familia za waliopewa kilo moja ya mchanga kila mmoja kuzika.

 

Show More

Related Articles