HabariPilipili FmPilipili FM NewsSwahili

Gavana Joho Aombwa Kumaliza Mvutano Unaoshuhudiwa Mombasa

Kuna haja ya gavana wa kaunti ya Mombasa Ali Hassan Joho kuwaleta pamoja washikadau wote wa serikali yake, katika harakati za kumaliza mvutano unaoshuhudiwa baina ya wananchi, wawakilishi wadi na mawaziri wa kaunti.

Hio ni kauli yke mwanaharakati wa kisiasa na maendeleo kutoka ziwa la ng’ombe,NYALI Ben Oluoch , ambaye amezitaka pande zote husika kuondoa tofauti zao, na badala yake kushirikiana pamoja kuwahudumia wakazi wa mombasa.

Show More

Related Articles