HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Ya Kaunti Ya Mombasa Kuimarisha Ubaharia.

Serikali inaweka mikakati jinsi ya kuimarisha shughuli za ubaharia nchini ikiwemo kuwekeza kwa mafunzo ya ubaharia kwa vijana kama njia mojawapo ya kukabiliana na tatizo la uhaba wa ajira.

Naibu gavana wa Mombasa William Kingi amesema Serikali ya Kaunti ya Mombasa itashirikiana na mamlaka ya vyuo vya kiufundi  TVET kuona kuwa mpango huo unaafikiwa.

Amedokeza kamba serikali pia ina malengo ya kutoa mashua 28 zitakakazowawezesha wavuvi kuvua samaki hadi maji makuu na kuimarisha zaidi sekta hiyo.

Show More

Related Articles