Swahili Videos

 Sakata ya mabwawa : Mawaziri Wamalwa na Kiunjuri wahojiwa na DCI

Waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa na waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri
Hii leo wamehojiwa katika makao makuu ya idara ya upelelezi wa jinai kuhusiana na sakata ya ujenzi wa mabwawa ya Arror na Kimwarer.
Wawili hao wamekanusha kuhusika kwa vyovyote vile katika ufujaji wa fedha za ujenzi wa mabwawa hayo katika kaunti ya Elgeyo Marakwet.

Show More

Related Articles