HabariPilipili FmPilipili FM News

Macron Na Kenyatta Wamefungua Kongamano La The One Planet Summit.

Rais Uhuru Kenyatta na mwezake wa ufaransa Emmanuel Maccron hii leo wameongoza hafla ya kufungua rasmi kongamano la the one planet Summit linaloandaliwa katika makao makuu ya umoja wa mataifa eneo la gigiri jijini Nairobi.

Mkutano huo unaolenga kutafuta suluhu za kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya hali ya anga, ulianza siku ya jumatatu.

Akiongea wakati wa hafla hiyo rais Kenyatta amehiza wadau wa mkutano huo, kupatia kipao mbele mjadala wa kukabili uchafuzi wa mazingira, pamoja na kuimarisha usalama wa chakula kupitia kilimo.

 

Show More

Related Articles