HabariK24 TvSwahiliVideos

Baraka ya malaika watano : Mama ajifungua pacha watano Kakamega

Baraka ya malaika watano

Ujauzito ni matumaini ya mengi mazuri yanayotarajiwa,na kuzaliwa kwa mtoto basi ni nderemo kwa wote kwani ni zawadi kutoka kwa mungu,lakini mtazamaji tafakari hili,umejaliwa kupata pacha watano kwa mpigo! Basi hiyo ndio hali ya mwanamke mmoja mwenye  umri wa miaka 28 kutoka eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega. Usiku wa kuamkia leo alijaliwa watoto watano, watatu wa kike na wawili wa kiume. Kwa ujumla sasa, ni mama ya watoto 9.

 

Show More

Related Articles