HabariMilele FmSwahili

Mama ajifungua watoto 5 Kakamega

Mama mmoja katika kaunti ya Kakamega ana kila sababu ya kutabasamu baada ya kujifungua watoto 5 katika hospitali kuu ya Kakamega. Evaline Namukhula amejifungua watoto watano, wakiume wawili na kike watatu. Namukhulu kutoka kijiji cha Shisokhe eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega anasema amefururahi kupata watoto hao kwani sasa ana watoto  tisa kwa jumla.

Show More

Related Articles