HabariMilele FmSwahili

Aisha Jumwa apuuza ushauri wa Raila kuomba msamaha

Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa amepuuza ushauri wa kinara wa ODM Raila Odinga kuomba radhi ili uamuzi wa kumfurusha chamani ubatilishwe. Jumwa anasisitiza angali mwanachama wa ODM huku akielezea imani ya kamati ya nidhamu ya vyama vya kisiasa kumpa ushindi katika rufaa aliokata dhidi ya ODM kumfurusha chamani.

Show More

Related Articles