HabariMilele FmSwahili

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuwasili nchini leo kwa ziara ya siku mbili

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anatarajiwa kuwasili nchini hii leo kwa ziara ya siku mbili. Rais Macron atashiriki mkao wa faragha na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta katika ikulu hapa Nairobi ambapo watajadiliana kuhusu masuala tofauti ya ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili. Baadaye mchana, viongozi hao watazuru kituo cha reli kilicho kati kati mwa jiji  la Nairobi kabla ya kuandaa kikao cha pamoja na wanahabari.

Show More

Related Articles