HabariMilele FmSwahili

Familia za walioangamia katika ajali ya ndege Ethiopia kuzuru eneo la mkasa leo

Familia za waathiriwa wa ajali ya ndege ya ethiopia leo zinatarajiwa kuzuru eneo la ilikoanguka ajali hiyo karibu na Bishoftu. Balonzi wa Kenya nchini Ethiopia Catherine Mwangi anasema maandalinzi yamekamilika kwa ajili ya kuwasafirisha jamaa hao asubuhi hii pamoja na maafisa kutoka mataifa mengine kuelekea eneo la ajali.

Kadhalika anasema uchunguzi wa miili ya waathiriwa itaanza rasmi kesho Alhamisi

Show More

Related Articles