HabariMilele FmSwahili

China na Ethiopia zapiga marufuku safari zote za ndege Boieng 737 Max 8

Serikali ya Uchina imepiga marufuku safari zote za ndege Boieng 737 Max 8. Hii ni baada ya ajali ya ndege sawia iliyowauwa watu 157 nchini Ethiopia. Utawala wa Beijing umenukuu ajali kadhaa ambazo zimehusishwa na ndege hiyo muda mchache tu baada ya kupaa angani, hivyo kuagiza zifanyiwe uchunguzi wa kina.Serikali

Ethiopia pia imepiga maufuku safari zote za ndege aina hiyo.

Hayo yakijiri, ujumbe wa maafisa wa Kenya uko Ethiopia kusaka majibu zaidi kuhusiana na ajali hiyo iliyowauwa wakenya 32. Katibu mkuu wa uchukuzi Esther Koimet anatarajiwa anaongoza ujumbe huo ambao ulielekea kaitka taifa hilo jana baada ya ripoti za kuanguka kwa ndege hiyo ya Boeing 737 iliokua ikitoka Ethiopia kuja Kenya. Kwa mujibu wa taarif ambazo tumepokea mipango ya kusafirisha miili ya wakenya wlaioangamia kwenye ajali hiyo ndio itakwua agenda kuu ya maafisa hao wa serikali kabla ya kuzamia uchunguzi wa ndani. Hadi sasa wizara ya uchukuzi ikishirikiana na shirika la msalaba mwekundu imetenga

Show More

Related Articles