Swahili Videos

Watahiniwa wa KCPEC/KCSE taabani

Wazazi wa watahiniwa walio na vyeti bandia vya kuzaliwa wana hadi hapo kesho kupata stakabadhi sahihi.
Kulingana na baraza la kitaifa la mitihani KNEC ,  baada ya kupata stakabadhi hizo , watahiniwa watapewa muda wa wiki moja kuanzia tarehe 7 machi ya kuhakiki maelezo sahihi kuwahusu , ili wawekwe kwenye orodha ya wale watakaoshiriki mitihani ya kitaifa.
Inadaiwa kuwa takriban watahiniwa elfu mia tatu huenda wasishiriki  mitihani ya KCPE na KCSE kwa kutokuwa na  vyeti sahihi , na kutotoa habari sahihi kuwahusu . frankline machari na taarifa kamili.

Show More

Related Articles