HabariMilele FmSwahili

Bidhaa gushi za takriban shilingi milioni 9 zaharibiwa kaunti ya Garissa

Bidhaa za gharama ya shilingi milioni 9 zimeharibiwa kaunti ya Garissa baada ya kubainika ni gushi. Mamlaka ya kukabiliana na bidhaa gushi inasema bidhaa hizo nyingi ni vyakula na elektroniki. Mapema juma hili mammlaka ya kukabiliana na bidhaa gushi iliharibu mali ya mabilioni ya fedha kaunti ya Momabsa zilizokuwa zimegaizwa kutoka mataifa ya nje.

Show More

Related Articles