Swahili Videos

Ulaghai kwa jina la ‘Rais’ : Washukiwa 7 kujua hatma yao

Washukiwa 7 wa ulaghai waliojifanya rais Uhuru Kenyatta na kumpora mfanyibiashara mashuhuri Naushad Merali shilingi milioni kumi watajua kesho iwapo wataachiliwa kwa dhamana au la.
Wakati wakisubiri kujua hatima yao, wakili anayewawasilisha Cliff Ombeta amesisitiza kuwa nambari wanayodaiwa kutumia washukiwa hao kumpora mfanyibiashara huyo ilikuwa nambari ya simu ya rais Uhuru Kenyatta, huku wengi wakijiuliza je?
Inakuwaje kundi la watu matapeli laweza kuwa likitumia nambari ya rais peupe?

Show More

Related Articles