Swahili Videos

Penzi lageuka sumu : Mke amuuwa mumewe Mlima Elgon

Mwanamke mmoja Phanice Abusiola amemuua mumewe Gabriel Eyade , kwa tuhuma amekuwa akila uroda na bintiye wa kambo Rose Eyada katika  kijiji cha Masindeti huko Mt Elgon.
inadaiwa kuwa alitekeleza mauaji hayo kwa kuwatuma  wahuni waliompiga eyada nyumbani mwake hadi kufa.

Show More

Related Articles