Swahili Videos

Mauaji ya kinyama : Mshukiwa apigwa na umati na kuuawa

Maafisa wa upelelezi wamemkamata mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka thelathini anayedaiwa kuhusika na mauaji na ubakaji katika eneo bunge la Bureti, huku mwingine akivamiwa na kupigwa na umati uliokuwa umejawa na hamaki.
Mwanaume huyo anadaiwa kuwa kati ya wahalifu wanne ambao wanadaiwa kuvamia nyumba ya mzee mmoja mwenye umri wa miaka sabini na nane na kumuua mkewe na kuwabaka wajukuu wake watatu.

Show More

Related Articles