HabariPilipili FmPilipili FM News

KPC Yafanya Ukaguzi Kuhusu Visa Vya Ufisadi Kwenye Kampuni Hiyo.

Kampuni ya kusambaza mafuta ya Kenya Pipeline KPC imeanzisha ukaguzi unaofanyika kwa wiki moja ili kuchunguza madai ya ufisadi ndani ya kampuni hiyo.

Kulingana na Mkurugenzi mkuu wa KPC Hudson Andambi, ukaguzi ulianza Jumatatu,Februari 18,na unafanywa na wakaguzi waliochaguliwa na kampuni za soko la mafuta OMCs.

Show More

Related Articles