HabariPilipili FmPilipili FM News

Makachero Wa EACC Wamevamia Makaazi Ya Gavana Lenokulal

Maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi EACC wamevamia nyumba ya Gavana wa Samburu Moses Lenokulal mapema leo.

Gavana Lenokulal analengwa katika uchunguzi wa shilingi  bilioni 2 zilizotumika kwa njia ya ufisadi.

Maafisa wa EACC pia wamevamia nyumba za maafisa wakuu wa kaunti hiyo kuendeleza uchunguzi wao.

Show More

Related Articles